Abdelmalek Ali Messaoud

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abdelmalek Ali Messaoud
Maelezo binafsi

Abdelmalek Ali Messaoud, (27 Mei 1955 – 6 Februari, 2022) alikuwa mchezaji wa soka wa Algeria ambaye alicheza kama beki katika klabu ya USM Alger.[1] Alikuwa na mechi 38 na bao moja kwa timu ya taifa ya Algeria.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Ali Messaoud alicheza mechi 38 katika timu ya taifa ya Algeria. Mechi yake ya kwanza ilikuwa dhidi ya Morocco katika mechi ya kirafiki na mechi yake ya mwisho ilikuwa dhidi ya Congo, pia alifunga bao moja dhidi ya Zambia katika kufuzu kwa AFCON ya 1978 kwenye Uwanja wa Julai 5, 1962.[1]

Maisha na Kifo[hariri | hariri chanzo]

Abdelmalek Ali Messaoud alifariki tarehe 6 Februari 2022, akiwa na umri wa miaka 66 kutokana na matatizo yaliyotokana na Janga la COVID-19.[2][3]

Heshima[hariri | hariri chanzo]

USM Alger

Algeria

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdelmalek Ali Messaoud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.