Abdallah Haji Ali
Mandhari
Abdallah Haji Ali (amezaliwa 1 Januari 1964) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF), pia ni mwalimu kitaaluma huko visiwani Zanzibar [1] Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kiwani kwa miaka 2015 – 2020. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-25.
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 11 Mei 2017 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdallah Haji Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |