Nenda kwa yaliyomo

Aaron Klug

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aaron Klug

Aaron Klug (amezaliwa 11 Agosti 1926) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza akiwa amezaliwa nchini Lithuania. Hasa anajulikana kwa kubuni hadubini kwa ajili ya kuchunguza fuwele. Mwaka wa 1982 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aaron Klug kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.