333 KK
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 5 KK |
Karne ya 4 KK |
Karne ya 3 KK |
►
◄ | Miaka ya 350 KK | Miaka ya 340 KK | Miaka ya 330 KK | Miaka ya 320 KK |
Miaka ya 310 KK |
►
◄◄ | ◄ | 336 KK | 335 KK | 334 KK | 333 KK |
332 KK |
331 KK |
330 KK |
► |
►►
Makala hii inahusu mwaka 333 KK (Kabla ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Ugiriki wa Kale / Uajemi
[hariri | hariri chanzo]- Aleksander Mkuu anaendelea na vita katika Anatolia dhidi ya Uajemi. Anafungua fundo la Gordion kwa kuikata.
- Novemba - Mapigano ya Issos, Aleksander anashinda jeshi la Mfalme Mkuu Darius III wa Uajemi. Mfalme anakimbia lakini mke na watoto wake wanakamatwa na Wagiriki.
Roma ya Kale
[hariri | hariri chanzo]- Publius Cornelius Rufinus anachaguliwa kuwa dikteta wa jamhuri ya Roma.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- Zenon wa Kition ni mwanafalsafa Mgiriki na mwanzisilishaji wa falsafa ya stoa († 264 KK)
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- Memnon wa Rhodos aliyekuwa jemadari Mgiriki wa kukudoshwa