Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Njombe Vijijini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created by translating the page "Njombe Rural District"
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:04, 17 Machi 2017

Wilaya ya Njombe Vijijini ni moja kati ya wilaya sita za  Mkoa wa Njombe nchini  Tanzania.[1] Makao makuu yapo katika manisipaa ya Njombe.

Historia

WIlaya ya Njombe Vijijini ilianzishwa rasmi wakati wa mwezi wa Machi mwaka 2012. Iliundwa kutokana sehemu ya kaskazini ya Wilaya ya Njombe ya awali iliyokuwa sehemu ya Mkoa wa Iringa. Sehemu za magharibi zilitengwa kuwa Wilaya ya Wanging'ombe na sehemu za kusini-mashariki zilikuwa Wilaya ya Njombe Mijini.

Uchumi

Wakazi wengi hujipatia tiziki kwa ufugaji na kilimo.

Miundombinu ni hafifu na hasa barabara hazina hali nzuri.

Utawala

Majimbo ya uchaguzi

Tangu uchaguzi wa mwaka 2010 eneo hilo limekuwa Jimbo la uchaguzi wa bunge la Tanzania:[2][3]

  • Jimbo la Njombe Kaskazini


Kata

Mwaka 2012 wilaya hii ilikuwa na kata 14.[4]

Maelezo

  1. Staff. "Tanzania: State Gazettes New Regions, Districts", Daily News, 9 March 2012. Archived from the original on August 23, 2012. 
  2. "2010 Parliamentary Election Results: Iringa: Wilaya ya Njombe: Njombe Kaskazini". National Electoral Commission of Tanzania.
  3. "Organisations located in Njombe District - Tanzania". African Development Information.
  4. "Postcodes Njombe Region 59000" (PDF). Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA). 2012.