Nenda kwa yaliyomo

Nyama choma : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
'''Nyama choma''' ni [[nyama]] iliyopikwa kwa kuchomwa kwa [[moto]], [[makaa]] au [[jiko]] la [[umeme]].
'''Nyama choma''' ni [[nyama]] iliyopikwa kwa kuchomwa kwa [[moto]], [[makaa]] au [[jiko]] la [[umeme]].


[[Harufu]] yake inavutia [[watu]] wengi kuipenda. Hivyo imekuwa [[biashara]] hasa katika [[barabara]] za [[Miji|mijini]].
[[Harufu]] yake inavutia [[watu]] wengi kuipenda katika nchi na tamaduni mbalimbali duniani. Hivyo imekuwa [[biashara]] hasa katika [[barabara]] za [[Miji|mijini]]. Nyama hii hupendwa pia wakati wa sherehe, matukio muhimu au mwisho wa wiki kwa wale wanaokunywa pombe. Pamoja na kuliwa na vyakula vingine, mara nyingi lazima iandaliwe na [[kachumbari]].

[[File:Braai.JPG|thumb|Nyama choma kwenye jiko dogo la makaa]]

==Viungo vya njə==
* [https://www.youtube.com/watch?v=MGtpk_jftEo Video ya nyama choma ya mbuzi Tanzania]
* [http://www.whats4eats.com/meats/nyama-choma-recipe Mapishi ya nyama choma]
* [https://homus.org/best-grill-smoker-combo/ Makala kuhusu jiko la kuchoma nyama]






{{mbegu-utamaduni}}
{{mbegu-utamaduni}}

Pitio la 10:41, 12 Julai 2018

Nyama choma hotelini.

Nyama choma ni nyama iliyopikwa kwa kuchomwa kwa moto, makaa au jiko la umeme.

Harufu yake inavutia watu wengi kuipenda katika nchi na tamaduni mbalimbali duniani. Hivyo imekuwa biashara hasa katika barabara za mijini. Nyama hii hupendwa pia wakati wa sherehe, matukio muhimu au mwisho wa wiki kwa wale wanaokunywa pombe. Pamoja na kuliwa na vyakula vingine, mara nyingi lazima iandaliwe na kachumbari.

Nyama choma kwenye jiko dogo la makaa

Viungo vya njə



Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyama choma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.