Yosefu Wang Guiji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Yosefu Wang Guiji (Nangong, 1863 hivi - Nangong, 13 Julai 1900) alikuwa mlei wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia.

Alipata nafasi ya kuokoa uhai wake kwa kusema uongo usiodhuru wengine, lakini aliona afadhali kukataa kishawishi hicho [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, ila ya kwake mwenyewe tarehe 13 Julai[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.