Wilaya ya Ilala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mtaa wa Samora ni kati ya barabara kuu za kitovu cha jiji

Wilaya ya Ilala ni wilaya moja ya Mkoa wa Dar es Salaam. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 637,573 [1]. Eneo lake ni 273 km².

Ilala yenyewe inahesabiwa kama manispaa ya Ilala ndani ya jiji la Dar es Salaam. Inajumlisha kitovu cha kihistoria cha Dar es Salaam ambako kuna ofisi nyingi za serikali pamoja na makampuni makubwa na maduka. Nafasi ya kitovu chenyewe ni sanamu ya askari; mitaa mingine maarufu ni Kariakoo, Buguruni, Kivukoni na kando lake iko Pugu.

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania Flag of Tanzania.svg

BuguruniChanikaGerezaniPuguMsongolaTabataKinyereziIlalaMchikichiniVingungutiKipawaKariakooJangwaniKisutuMchafukogeUkongaUpanga MasharikiUpanga MagharibiKivukoniKiwalaniSegereaKitunda (Ilala)


Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine