Kariakoo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kariakoo ni jina la kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 9,405 waishio humo. [1]

Kariakoo inajulikana kutokana na soko kubwa.

[hariri] Asili ya jina

Jina la eneo hili ni la kihistoria linatokana na neno la Kiingereza "carrier corps" yaani kikosi cha wapangaji waliobeba mizigo ya jeshi wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Pande zote vitani walitumia malakhi ya wapangaji waliokodishwa au kulazimishwa kufanya huduma hii. Baada ya vita wapangaji kadhaa walipewa maeneo ya kujenga nyumba kwenye miji mbalimbali na hivyo majina kama "Kariakoo" au "Kariokor" (Nairobi) yanapatikana katika miji mbalimbali ya Afrika ya Mashariki.

[hariri] Marejeo

  1. 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Retrieved on 2008-08-21.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania Flag of Tanzania.svg

BuguruniChanikaGerezaniPuguMsongolaTabataKinyereziIlalaMchikichiniVingungutiKipawaKariakooJangwaniKisutuMchafukogeUkongaUpanga MasharikiUpanga MagharibiKivukoniKiwalaniSegereaKitunda (Ilala)


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kariakoo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Lugha nyingine