Wafiadini 120 wa Uajemi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini 120 wa Uajemi (walifariki nchini Uajemi, 344 hivi) walikuwa Wakristo, wakiwemo wanaume 111 na wanawake 9 kutoka miji mbalimbali, waliouawa kwa kuchomwa hai kwa sababu ya kukataa kumkana Yesu Kristo na kuabudu moto katika dhuluma ya mfalme Sabor II [1][2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Aprili[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/48530
  2. A near-contemporary 5th century Christian work, the Ecclesiastical History of Sozomen, contains considerable detail on the Persian Christians martyred under Shapur II. Sozomen estimates the total number of Christians killed as follows: The number of men and women whose names have been ascertained, and who were martyred at this period, has been computed to be upwards of sixteen thousand, while the multitude of martyrs whose names are unknown was so great that the Persians, the Syrians, and the inhabitants of Edessa, have failed in all their efforts to compute the number. — Sozomen, in his Ecclesiastical History, Book II, Chapter XIV
  3. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.