Mtumbako
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tumbako)
| Mtumbako (Nicotiana spp.) |
||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mitumbaku iliyotoa maua
|
||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mtumbako ni mmea mwenye asili ya Amerika inayolimwa kote duniani. Majani yake (tumbako) yana kiasi kikubwa cha nikotini na yana matumizi ya kuvuta katika sigara.
Historia[hariri]
Waindio ambao ni wenyeji asilia wa Amerika walitumia tumbaku miaka mingi kabla ya kufika kwa Wazungu huko. Wahispania walijifunza matumizi ya tumbaku kutoka kwao wakaileta Ulaya.
Mwanzoni tumbaku ilivutwa kwa kiko. Sigara zilipatikana baadaye.
Walimaji Mtumbako[hariri]
| Walimaji wakuu wa mtumbako duniani - 2005 (milioni za tani za mraba) |
|
|---|---|
| 2.51 | |
| 0.88 | |
| 0.60 | |
| 0.29 | |
| 0.14 | |
| 0.14 | |
| 0.12 | |
| 0.12 | |
| 0.11 | |
| 0.08 | |
| World Total | 6.38 |
| Kutoka: FAO [1] |
|
| Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mtumbako kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |