Trudo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Trudo (pia: Tron, Trond, Trudon, Trutjen, Truyen; Hesbaye, leo nchini Ubelgiji, 628 hivi - Hesbaye 693 hivi) alikuwa mmonaki padri aliyeanzisha monasteri mbili huko kwao[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. The life was written by Donatus, a deacon of Metz, at the order of his bishop, Angibram (769-91). It was rewritten by Theodoric, Abbot of St Trond (d. 1107).
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91932
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.