Thr33 Ringz
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Thr33 Ringz | ||
|---|---|---|
![]() |
||
| Studio album ya T-Pain | ||
| Imetolewa | 11 Novemba 2008 | |
| Imerekodiwa | 2007–2008 | |
| Aina | Hip hop, pop rap, pop, R&B | |
| Urefu | 60:35 (Regular) 73:08 (Deluxe Edition) |
|
| Studio | Nappy Boy/Konvict/Jive/Zomba | |
| Tahakiki za kitaalamu | ||
|
||
| Kava lingine | ||
Import edition cover
|
||
| Single za kutoka katika albamu ya Thr33 Ringz | ||
|
||
Thr33 Ringz[1] ni jina la kutaja albamu ya tatu ya mwimbaji na mtunzi wa R&B T-Pain. Albamu ilitolewa nchini Marekani mnamo tar. 11 Novemba 2008, ikaingia nafasi ya nne kwenye chati za albamu za Billboard 200 na nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums. Albamu imepokea tahakiki mchanganyiko kutoka kwa wataalamu ya kutathmini muziki. Albamu ilichaguliwa kwenye "Grammy Award - ikiwa kama albamu bora ya R&B", lakini ilipotezwa na albamu ya Beyoncé, I Am... Sasha Fierce.
Yaliyomo |
Orodha ya nyimbo [hariri]
| # | Jina | Urefu |
|---|---|---|
| 1. | "Welcome to Thr33 Ringz Intro" | 2:27 |
| 2. | "Ringleader Man" | 2:54 |
| 3. | "Chopped 'N' Skrewed" (akishirikiana na Ludacris) | 4:21 |
| 4. | "Take a Ride (Ringleader Man Skit)" | 1:45 |
| 5. | "Freeze" (akishirikiana na Chris Brown) | 3:36 |
| 6. | "Blowing Up" (akishirikiana na Ciara) | 3:24 |
| 7. | "Can't Believe It" (akishirikiana na Lil Wayne) | 4:33 |
| 8. | "It Ain't Me" (akishirikiana na Akon na T.I.) | 3:45 |
| 9. | "Feed the Lions (Ringleader Man Skit)" | 1:28 |
| 10. | "Therapy" (akishirikiana na Kanye West) | 3:34 |
| 11. | "Long Lap Dance" | 4:36 |
| 12. | "Reality Show" (akishirikiana na Musiq Soulchild, Raheem DeVaughn na Jay Lyriq) | 5:27 |
| 13. | "Keep Going" | 2:14 |
| 14. | "Superstar Lady" (akishirikiana na Young Ca$h) | 3:17 |
| 15. | "Change" (akishirikiana na Akon, Diddy & Mary J. Blige) | 5:10 |
| 16. | "Digital" (akishirikiana na Tay Dizm) | 3:14 |
| 17. | "Karaoke" (akishirikiana na DJ Khaled) | 4:48 |
Chati na mauzo [hariri]
Thr33 Ringz ikaingia #4 kwenye chati ya Billboard 200, ikaunza nakala 167,700 katika wiki yake ya kwanza.[2] Albamu ilitunukiwa Dhahabu, kwa kuuza nakala zaidi ya 530,000.[3]
| Chati (2008) | Nafasi iliyoshika |
|---|---|
| U.S. Billboard 200 | 4 |
| U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums | 1 |
| Australian Top 40 Urban Albums Chart | 17 |
| Canadian Albums Chart | 25 |
Marejeo [hariri]
- ↑ New T-Pain Album Due In Late September. Billboard.com. Accessed 22 Mei 2008.
- ↑ Langhorne, Cyrus (2008-11-19). T-PAINS RINGS IN 167K IN FIRST WEEK SALES NUMBERS. Sohh.Com. Rudishwa juu ya 2010-03-14.
- ↑ Auto-Tune Maker Cashes In On Hip Hop Trends | Get The Latest Hip Hop News, Rap News & Hip Hop Album Sales. HipHopDX (2009-01-07). Rudishwa juu ya 2010-03-14.

