Rappa Ternt Sanga
| Rappa Ternt Sanga | |||||
|---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
| Studio album ya T-Pain | |||||
| Imetolewa | 6 Desemba 2005 | ||||
| Imerekodiwa | 2004-2005 | ||||
| Aina | Hip hop R&B |
||||
| Studio | Konvict Muzik Jive Records |
||||
| Mtayarishaji | T-Pain | ||||
| Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
| Wendo wa albamu za T-Pain | |||||
|
|||||
| Single za kutoka katika albamu ya Rappa Ternt Sanga | |||||
|
|||||
Rappa Ternt Sanga ni albamu ya kwanza ya mtayarishaji/mwimbaji-mtunzi wa nyimbo za hip hop T-Pain, ilitolewa mnamo mwaka wa 2005. Jina la albamu ni lahaja ya matamshi ya rai "rapper turned singer", yaani, "rapa aliyegeuka kuwa mwimbaji". Albamu imeuza nakala zaidi ya 800,000 dunia nzima. T-Pain alikuwa na vibao viwili kwenye US Billboard Top Ten cha "I'm Sprung" na "I'm 'n Luv (Wit a Stripper)". Nyimbo nyingine kutoka katika albamu ni pamoja na "I'm So High," wimbo unaohusu wa matumizi ya madawa ya kulevya. Rappa Ternt Sanga iliingia nafasi ya #40 kwenye Billboard 200 na ikaanguka nafasi hamsini hadi #91 juma lililofuata; majuma kadhaa ya usoni hatimaye ikapanda hadi nafasi ya #33. Moja ya nyimbo zilizobaki ni pamoja na "You And Me", toleo la awali la "I Can't Wait" la Akon. [1] Albamu yote imetengenzwa na GarageBand.[2]
Orodha ya nyimbo[hariri]
| # | Jina | Walioshirikishwa | Muda |
|---|---|---|---|
| 1 | "Rappa Ternt Sanga (Intro)" | 1:48 | |
| 2 | "I'm Sprung" | 3:51 | |
| 3 | "I'm 'n Luv (Wit a Stripper)" | Mike Jones | 4:25 |
| 4 | "Studio Luv" | 3:37 | |
| 5 | "You Got Me" | Akon | 3:35 |
| 6 | "Let's Get It On" | 3:52 | |
| 7 | "Como Estas" | Taino | 3:34 |
| 8 | "Have It (Interlude)" | 3:16 | |
| 9 | "Fly Away" | 3:55 | |
| 10 | "Going Through A lot" | Bone Crusher | 4:28 |
| 11 | "Say It" | 4:00 | |
| 12 | "Dance Floor" | Tay Dizm | 5:10 |
| 13 | "Your Not The Same" | Akon | 4:17 |
| 14 | "My Place" | 3:40 | |
| 15 | "Blow Ya Mind" | 4:16 | |
| 16 | "Ridge Road" | 4:34 | |
| 17 | "I'm High" | Styles P | 4:37 |
| 18 | "I'm Sprung 2" | YoungBloodZ, Pitbull & Trick Daddy | 4:20 |
Nafasi ya chati[hariri]
| Chati (2006) | Nafasi iliyoshika |
|---|---|
| U.S. Billboard 200 | 33 |
| U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums | 8 |
Marejeo[hariri]
| Makala hii kuhusu albamu za hip hop za miaka ya 2000 bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
