The Rescuers
|
|
Makala hii au sehemu ya makala hii inatumia lugha inayohitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo:
|
| The Rescuers | |
|---|---|
![]() Posta ya filamu |
|
| Imeongozwa na | Wolfgang Reitherman John Lounsbery Art Stevens |
| Imetayarishwa na | Wolfgang Reitherman |
| Imetungwa na | Larry Clemmons Ken Anderson Vance Gerry Frank Thomas Dave Michenar Ted Berman Fred Lucky Burny Mattinson Dick Sebast |
| Nyota | Eva Gabor Bob Newhart Geraldine Page Jim Jordan Joe Flynn |
| Muziki na | Artie Butler |
| Imesambazwa na | Buena Vista Distribution |
| Imetolewa tar. | 22 Juni 1977 |
| Ina muda wa dk. | Dk. 77 |
| Lugha | Kiingereza |
| Bajeti ya filamu | $1,200,000 |
| Mapato yote ya filamu | $71,215,869 |
| Ikafuatiwa na | The Rescuers Down Under (1990) |
The Rescuers (Kiswahili: Waokoaji) ni filamu ya katuni ya mwaka wa 1977 -liotayarishwa na Walt Disney Productions na kutolewa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 22 Juni 1977. Hii ni filamu ya ishirini na tatu kutolewa katika mfululizo wa Walt Disney Animated Classics, filamu inahusu Huduma ya Uokoaji kwa Jamii, shirika la panya la kimataifa, lenye makao makuu yake mjini New York na kuungana na Umoja wa Mataifa, waliojitolea kusaidia waathirika na utekajinyara duniani. Panya wawili, cha-uwoga Bernard (Bob Newhart) na mwenyekufaa Miss Bianca (Eva Gabor), waliokaa pamoja ili kumwokoa Penny (Michelle Stacy), msichana alitekwa, ambaye ameshikiriwa kinyume na matakwa yake na mloo wa mali Madame Medusa (Geraldine Page).
Filamu inatokana na riwaya ya watoto ya Margery Sharp "The Rescuers", inajulikana sana, The Rescuers (1959) na Miss Bianca (1962). Ikafuatiwa filamu, The Rescuers Down Under, ilitolewa tar. 16 Novemba 1990.
Yaliyomo |
Hadithi [hariri]
Washiriki [hariri]
- Bob Newhart kama Bernard
- Eva Gabor kama Miss Bianca
- Geraldine Page kama Madame Medusa
- Michelle Stacy kama Penny
- Joe Flynn kama Mr. Snoops
- Jim Jordan kama Orville
- John McIntire kama Rufus
- Jeanette Nolan kama Ellie Mae
- James MacDonald kama Evinrude
- Candy Candido kama Brutus na Nero
- Bernard Fox kama Mr. Chairman
- George Lindsey kama Deadeye
- Larry Clemmons kama Gramps
- Dub Taylor kama Digger
- John Fiedler kama Deacon Owl
- Shelby Flint kama Singer, Bottle
- Bill McMillian kama Mtangazaji wa T.V.
Marejeo [hariri]
Viuongo vya Nje [hariri]
- (Kiingereza) The Rescuers katika Allmovie
- The Rescuers at the Internet Movie Database
- The Rescuers katika Rotten Tomatoes
