One Hundred and One Dalmatians
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| One Hundred and One Dalmatians | |
|---|---|
![]() Posta ya filamu |
|
| Imeongozwa na | Clyde Geronimi Hamilton Luske Wolfgang Reitherman |
| Imetayarishwa na | Walt Disney |
| Imetungwa na | Dodie Smith (novel "The One Hundred and One Dalmatians" Bill Peet (hadithi) |
| Nyota | Rod Taylor Cate Bauer Betty Lou Gerson Ben Wright Lisa Davis Martha Wentworth |
| Muziki na | George Bruns Mel Leven (songs) |
| Imesambazwa na | Buena Vista Pictures |
| Imetolewa tar. | 25 Januari, 1961 |
| Ina muda wa dk. | Dk. 79 |
| Lugha | Kiingereza |
| Bajeti ya filamu | $4,000,000 USD (makisio) |
| Mapato yote ya filamu | $215,880,014 |
| Ikafuatiwa na | 101 Dalmatians II: Patch's London Adventure (2003) |
One Hundred and One Dalmatians (Kiswahili: Mijibwa Mia Moja na Moja) ni filamu ya katuni ya mwaka wa 1961 -liotayarishwa na Walt Disney na inatokana na kitabu cha Dodie Smith chenye jina sawa na hili la filamu hii. Hii ni filamu ya kumi na saba kutolewa katika mfululizo wa filamu za Disney almaarufu kama Walt Disney Animated Classics. Filamu ilitolewa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 25 Januari, 1961.
Yaliyomo |
[hariri] Hadithi
[hariri] Washiriki
- Rod Taylor - Pongo
- Cate Bauer - Perdita
- Betty Lou Gerson - Cruella De Vil; Miss Birdwell
- Ben Wright - Roger Radcliffe
- Lisa Davis - Anita Radcliffe
- Martha Wentworth - Nanny
- Frederick Worlock - Horace Badun; Inspector Craven
- J. Pat O'Malley - Jasper Badun; Colonel
- Tudor Owen - Towser
- Tom Conway - Quizmaster; Collie
- George Pelling - Danny
- Thurl Ravenscroft - Captain
- David Frankham - Sgt. Tibbs
- Ramsay Hill - Mtangazaji wa TV; Labrador
- Queenie Leonard - Princess
- Marjorie Bennett - Duchess
- Barbara Baird - Rolly
- Mickey Maga - Patch
- Sandra Abbott - Penny
- Mimi Gibson - Lucky
- Bill Lee - Roger (singing)
[hariri] Marejeo
[hariri] Viuongo vya nje
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
- One Hundred and One Dalmatians katika Internet Movie Database
- One Hundred and One Dalmatians katika Rotten Tomatoes
| Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu One Hundred and One Dalmatians kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
