Bambi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala hii inahusu filamu juu ya Walt Disney. Kwa makala ya kata ya Wilaya ya Kati, tazama Bambi (kata ya Wilaya ya Kati).

Bambi
Imeongozwa na David Dodd Hand
Imetayarishwa na Walt Disney
Imetungwa na Larry Morey
Perce Pearce
Gustaf Tenggren
Nyota Bobby Stewart
Donnie Dunagan
Hardie Albright
John Sutherland
Paula Winslowe
Peter Behn
Tim Davis
Sam Edwards
Will Wright
Cammie King
Ann Gillis
Fred Shields
Stan Alexander
Sterling Holloway
Imesambazwa na RKO Radio Pictures
Ina muda wa dk. Dk. 70
Lugha Kiingereza
Mapato yote ya filamu 267,447,150
Ikafuatiwa na Bambi II (2006)

Bambi ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1942. Filamu ilitayarishwa na Walt Disney, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 13 Agosti 1942 na Walt Disney Pictures. Hii ni ya 5 kutolewa kwa mujibu wa orodha ya filamu za katuni za Walt Disney. Filamu inatokana na kitabu cha Felix Salten chenye jina sawa na hili la filamu hii.

Hadithi ni kuhusu mtoto wa kulungu, jina lake Bambi, ambaye anajifunza kukua katika pori baada ya mama yake kuuawa kwa risasi na wawindaji.

Washiriki[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viuongo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: