Silvesta wa Chalon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Silvesta wa Chalon (aliishi katika Ufaransa wa leo, karne ya 6) alikuwa askofu wa Chalon-sur-Saone.

Alikuwa kuhani kwa miaka 42[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.