Paw Fum
Paw Fum | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Paxton Michael Ford |
Amezaliwa | 15 Mei 1997 |
Asili yake | Kilimanjaro, Tanzania. |
Aina ya muziki | Dansi Hip Hop Pop Rock Rap Bongo Flava |
Kazi yake | Mwanamuziki Mwandishi Mchezaji Mwigizaji Mfanyabiashara |
Ala | Ngoma Sauti |
Aina ya sauti | Pop |
Miaka ya kazi | 2020 - hadi leo |
Studio | RB Studio (Randu Boy Studio) |
Tovuti | https://www.youtube.com/pawfum/YT] |
Paw Fum (jina lake kamili ni Paxton Michael Ford; alizaliwa 15 Mei 1997) ni mwanamuziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva).
Paw Fum amepata msukumo wa kuimba kutoka kwa baba na babu yake ambao walifurahia kuimba na kucheza.[1]Baadhi ya nyimbo zake ni pamoja na Ooh (2020), Touch Me na Kokoriko (2021).[2] Paw Fum ni mtoto wa tisa katika familia ya Michael, alisoma elimu ya msingi na elimu ya sekondari na akamalizia katika shule ya Ungwasi.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paw Fum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |