Novak Djokovich
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Novak Djokovich |
|
|---|---|
|
|
|
| Alizaliwa | 22 Mei 1987 Serbia |
| Kazi yake | michezo - tenisi |
Novak Djokovich (22 Mei 1987, Belgrad; Kiserbia: Новак Ђоковић, Novak Đoković) ni mchezaji wa tenisi kutoka Serbia. Alishinda mashindano matano ya Grand Slam. Mwaka 2012 Djokovich alikuwa mchezaji bora duniani kwenye orodha ya ATP.[1]
Yaliyomo |
Grand Slam [hariri]
- Australia open: Mshindi 2008, 2011, 2012.
- Ufaransa open: Fainali 2012.
- Wimbledon: Mshindi 2011.
- Marekani open: Mshindi 2011.
Picha nyumba ya sanaa [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ ATP World Rankings 2 Desemba 2012.
Viungo vya Nje [hariri]