Nchi za Maziwa Makuu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nchi za Maziwa Makuu ni nchi za Tanzania, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya, na Uganda. Kati ya maziwa makubwa yaliyoko katika eneo hili ni Ziwa Tanganyika na Ziwa Nyanza (Vikitoria)
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nchi za Maziwa Makuu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
