Muza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muza Tisa


Muza ni miungu wa kike wa ushairi, nyimbo na fasihi katika mitholojia ya Kigiriki.

Alama za Muza[hariri | hariri chanzo]

Jina la Kigiriki Muza Mamlaka Alama
Καλλιόπη, Kalliópē Kaliopa Ushairi wa utenzi Kibau cha kuandikia
Κλειώ, Kleiṓ Klio Historia Magombo
Ἐρατώ, Erató Erato Ushairi wa upendo Sithara (ala ya muziki ya Ugiriki ya Kale kama kinubi)
Eὐτέρπη, Eutérpē Euterpa Ushairi wa nyimbo Aulo (ala ya muziki ya Ugiriki ya Kale kama filimbi)
Μελπομένη, Melpoménē Melpomena Ushairi wa msiba Kinyago cha msiba
Πολυύμνια, Polyýmnia Polihimnia Ushairi wa dhati Shela
Τερψιχόρη, Terpsikhórē Terpsikhora Wimbo na kucheza Lira (ala ya muziki ya Ugiriki ya Kale kama kinubi)
Θάλεια, Tháleia Thalia Ushairi wa futuhi Kinyago cha futuhi
Οὐρανία, Ouranía Urania Falaki Dunia na bikari
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.