Falaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aina mbalimbali za darubini ni vyombo muhimu ya falaki


Falaki ni elimu juu ya magimba kwenye ulimwengu kama vile nyota, sayari, miezi, vimondo, nyotamkia, galaksi kuhusu nyendo zao, nafasi, umbali, ukubwa , n.k.

Falaki ni tofauti na unajimu ambayo si sayansi ya kisasa bali jaribio la kuona uhusiano kati ya nyota na tabia za wanadamu pia kutabiri mambo yajayo.

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Falaki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Lugha nyingine