Mshigi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mshigi | ||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mishigi ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika, Asia na Australia. Takriban spishi zote za Afrika ni ndege weusi au kahawia na weupe wenye pengine sehemu za rangi kali kama nyekundu, machungwa na njano. Spishi nyingi za Asia na Australia zina rangi kali kwa kipande kikubwa cha mwili. Ndege hawa hula mbegu hasa na wadudu pia, hususa makinda. Tago lao ni tufe la manyasi lenye mwingilio kwa kando. Jike huyataga mayai 4-7.
[hariri] Spishi za Afrika
- Amandava amandava, Mshigi Mwekundu (Red Avadavat) imewasilishwa katika Misri
- Amandava subflava, Mshigi Punda-milia (Zebra au Orange-breasted Waxbill)
- Estrilda astrild, Mshigi Kinyago-chekundu (Common Waxbill)
- Estrilda atricapilla, Mshigi Kichwa-cheusi (Black-headed Waxbill)
- Estrilda caerulescens, Mshigi Buluu (Lavender Waxbill)
- Estrilda charmosyna, Mshigi Mashavu-meusi (Black-cheeked Waxbill)
- Estrilda erythronotos, Mshigi Uso-mweusi (Black-faced Waxbill)
- Estrilda kandti, Mshigi wa Kandt (Kandt's Waxbill)
- Estrilda melanotis, Mshigi Utosi-kijivu (Swee Waxbill)
- Estrilda melpoda, Mshigi Mashavu-machungwa (Orange-cheeked Waxbill)
- Estrilda nigriloris, Mshigi Kinyago-cheusi (Black-lored Waxbill)
- Estrilda nonnula, Mshigi Utosi-jeusi (Black-crowned Waxbill)
- Estrilda paludicola, Mshigi-mbuga (Fawn-breasted Waxbill)
- Estrilda perreini, Mshigi Mkia-mweusi (Black- au Grey-tailed Waxbill)
- Estrilda poliopareia, Mshigi wa Anambra (Anambra Waxbill)
- Estrilda quartinia, Mshigi Tumbo-njano (Yellow-bellied Waxbill)
- Estrilda rhodopyga, Mshigi Kiuno-chekundu (Crimson-rumped Waxbill)
- Estrilda thomensis, Mshigi Tumbo-jekundu (Cinderella Waxbill)
- Estrilda troglodytes, Mshigi Kiuno-cheusi (Black-rumped Waxbill)
- Ortygospiza atricollis, Mshigi Koo-jeusi (Black-faced Quailfinch)
- Ortygospiza fuscocrissa, Mshigi Tombo (African Quailfinch)
- Ortygospiza gabonensis, Mshigi Kidevu-cheusi ( Black-chinned au Red-billed Quailfinch)
- Ortygospiza locustella, Mshigi Kidari-chekundu au Mshigi Nzige (Locust Finch)
[hariri] Spishi za mabara mengine
- Amandava formosa (Green Avadavat)
- Erythrura coloria (Red-eared au Mount Katanglad Parrotfinch)
- Erythrura cyaneovirens (Red-headed Parrotfinch)
- Erythrura c. pealii (Fiji Parrotfinch)
- Erythrura c. regia (Royal Parrotfinch)
- Erythrura gouldiae (Gouldian Finch, Lady Gouldian Finch, Gould's Finch au Rainbow Finch) – pengine inaainishwa katika Chloebia
- Erythrura hyperythra (Tawny-breasted au Green-tailed Parrotfinch)
- Erythrura kleinschmidti (Pink-billed Parrotfinch)
- Erythrura papuana (Papuan Parrotfinch)
- Erythrura prasina (Pin-tailed Parrotfinch)
- Erythrura psittacea (Red-throated Parrotfinch)
- Erythrura trichroa (Blue-faced Parrotfinch)
- Erythrura tricolor (Tricolored au Three-coloured Parrotfinch)
- Erythrura viridifacies (Green-faced Parrotfinch)
- Neochmia modesta (Plum-headed Finch au Cherry Finch)
- Neochmia phaeton (Crimson Finch)
- Neochmia ruficauda (Star Finch)
- Neochmia temporalis (Red-browed Firetail)
- Oreostruthus fuliginosus (Mountain Firetail)
- Poephila acuticauda (Long-tailed Finch)
- Poephila cincta (Black-throated Finch)
- Poephila personata (Masked Finch)