Mkeshamsitu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Chati
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia: Muscicapidae (Ndege walio na mnasaba na shore)
Nusufamilia: Saxicolinae (Ndege wanaofanana na mhozo)
Jenasi: Alethe
Cassin, 1859
Spishi: Angalia katiba

Mkeshamsitu ni ndege wa jenasi Alethe katika familia Muscicapidae. Wanafanana na chati na wana rangi ya kahawa mgongoni na nyeupe chini. Mwenendo wao ni kama ule wa mikesha. Wanatokea misitu ya majimaji ya Afrika pengine milimani. Hula wadudu hasa. Hulijenga tago lao kwa vigoga, vijiti na mizizi katika mti. Jike huyataga mayai 3-5.

[hariri] Spishi za Afrika

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine