Nenda kwa yaliyomo

Lushoto (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Lushoto
Lushoto is located in Tanzania
Lushoto
Lushoto

Mahali pa mji wa Lushoto katika Tanzania

Majiranukta: 4°46′48″S 38°16′48″E / 4.78000°S 38.28000°E / -4.78000; 38.28000
Nchi Tanzania
Mkoa Tanga
Wilaya Lushoto
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 21,870
Ramani ya Wilaya ya Lushoto, Tanzania
Kikundi cha mazoezi ya kukimbia, Lushoto,Tanzania

Lushoto ni mji mdogo uliopo kwa kimo cha mita 1930 juu ya UB kwenye milima ya Usambara na ni makao makuu ya wilaya ya Lushoto.

Kiutawala ni kata moja tu na kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 28,190 waishio humo. Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 21,870 [1].

Kuna barabara ya lami kati ya Lushoto na Mombo inapounganika na barabara kuu B1 Arusha - Dar es Salaam.

Mazingira ya Lushoto yanafaa kwa kilimo; pia kuna vivutio vya utalii.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Mji ulianzishwa na Wajerumani wakati wa koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani kwa jina la Wilhelmstal ("bonde la Wilhelm"). Jina lilichaguliwa kwa heshima ya kaisari Wilhelm II aliyekuwa mtawala wa Ujerumani hadi mwaka 1918.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Kata za Wilaya ya Lushoto - Mkoa wa Tanga - Tanzania

Dule "M" | Gare | Hemtoye | Kilole | Kwai | Kwekanga | Kwemashai | Kwemshasha | Lukozi | Lunguza | Lushoto | Magamba | Makanya | Malibwi | Malindi | Manolo | Mbaramo | Mbaru | Mbwei | Migambo | Mlalo | Mlola | Mnazi | Mng'aro | Mtae | Mwangoi | Ngulwi | Ngwelo | Rangwi | Shagayu | Shume | Sunga | Ubiri


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lushoto (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.