Wilaya ya Lushoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
ramani ya mahali pa wilaya ya Lushoto katika mkoa wa Tanga

Wilaya ya Lushoto ni kati ya wilaya saba ya Mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Mwaka 2002 ilikuwa na wakazi 419,970 [1].

Wilaya ya Lushoto ni sehemu ya milima ya Usambara. Inapakana na Wilaya ya Muheza na nchi ya Kenya upande wa kaskazini. Upande wa mashariki-kusini imepakana na Wilaya ya Korogwe. Upande wa magharibi imepakana na Wilaya ya Korogwe na Mkoa wa Kilimanjaro.

Wenyeji asilia ni Wasambaa na Wambugu.

Utawala [hariri]

Wilaya imegawanyika katika tarafa nane za Lushoto, Soni , Bukuli, Mgwashi, Mlola, Mlalo, Mtae na Umba.

Wilaya hii Lushoto huwa na kata 32 zifuatazo:

Viungo vya Nje [hariri]

Habari za jimbo la uchaguzi la Bumbuli katika wilaya ya Lushoto Vivutio vya utalii katika Lushoto

Marejeo na Viungo vya Nje [hariri]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Lushoto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Lushoto - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Baga * Bumbuli * Funta * Gare * Hamtoye * Kwai * Lunguza * Lushoto * Magwashi * Makanya * Malibwi * Malindi * Mamba * Mayo * Mbaramo * Mbuzii * Mlalo * Mlingano * Mlola * Mnazi * Mng'aro * Mponde * Mtae * Mwangoi * Ngwelo * Rangwi * Shume * Soni * Sunga * Tamota * Ubiri * Vuga