Mombo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mombo ni jina la kata ya Wilaya ya Korogwe katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 15,990 waishio humo. [1]
Mji wa Mombo uko kando la barabara kuu B1 kati ya Moshi na Segera. Ni kituo cha mapumziko kwa mabasi yanaosafiri kati ya Dar es Salaam na Kilimanjaro.
Marejeo [hariri]
- ↑ 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Rudishwa juu ya 2008-08-21.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mombo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Korogwe - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Mashewa • Kizara • Magoma • Kerenge • Kwamndolwa • Kwagunda • Mnyuzi • Korogwe • Ngombezi • Msambiazi • Vugiri • Dindira • Bungu • Lutindi • Makuyuni • Chekelei • Mombo • Mkalamo • Mazinde • Mkomazi |
||