Konlaedo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Konlaedo katika dirisha la kioo cha rangi.

Konlaedo (kwa Kikelti: Collaid, Condlaedh, Conlaeth, Conlaidh, Conleo, Conliad, Conlian, Connlaed; 450 hivi - Kildare, 519 hivi[1]) alikuwa mkaapweke nchini Ireland, halafu mshirika wa Brid wa Kildare katika kuendesha monasteri zake, ikiwemo ile maarufu ya Kildare[2]. Hatimaye akawa askofu wa kwanza wa eneo hilo[3].

Tangu kale anahesabiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Mei[4]-

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.