Klaus Kinski
Mandhari
Klaus Kinski | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Nikolaus Karl Günther Nakszyński |
Alizaliwa | 18 Oktoba 1926 Poland |
Kafariki | 23 Novemba 1991, Marekani |
Jina lingine | Klaus Kinski |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1948 mpaka 1989 |
Klaus Kinski (18 Oktoba 1926 – 23 Novemba 1991) alikuwa mwigizaji wa filamu wa Ujerumani. Alifahamika sana kwa uwezo wake mkubwa wa kiigizaji katika kiwambo, na ukemeaji wake wa kiukali. Kinski ameigiza zaidi ya filamu 180. Kinski pia aliwahi kushiriki katika filamu za western za Italia, maarufu kama Spaghetti Western.
Filamu alizocheza
[hariri | hariri chanzo]- Morituri (1948)
- Decision Before Dawn (1950) (uncredited)
- Um Thron und Liebe (1955)
- Ludwig II: Glanz und Ende eines Königs (1955)
- Kinder, Mütter und ein General (1955)
- Hanussen (1955)
- Waldwinter (1956)
- Corinna Darling (1956)
- A Time to Love and a Time to Die (1958)
- The Avenger (1960)
- Dark Eyes of London (1961)
- Bankraub in der Rue Latour (1961)
- The Devil's Daffodil (1961)
- The Strange Countess (1961)
- The Puzzle of the Red Orchid (1962)
- The Counterfeit Traitor (1962)
- Der Rote Rausch (1962)
- The Door with Seven Locks (1962)
- The Inn on the River (1962)
- The Squeaker (1963)
- The Black Cobra (1963)
- The Black Abbot (1963)
- The Indian Scarf (1963)
- Scotland Yard in Pursuit of Dr. Mabuse (1963)
- Winnetou II - Last of the Renegades) (1964)
- For a Few Dollars More (1965)
- Doctor Zhivago (1965)
- Circus of Fear (1966)
- Grand Slam (1967)
- If You Meet Sartana Pray for Your Death (1968)
- The Great Silence (1968)
- El Conde Dracula (1969)
- Aguirre, the Wrath of God (1972)
- La Morte ha Sorriso all'Assassino (1973)
- Lifespan (1974)
- Chi ha Rubato il Tesoro dello Scia? (1974) (unconfirmed)
- La Mano che Nutre la Morte (1974)
- Le Amanti del Mostro (1974)
- Le Orme (1975)
- L'important c'est d'aimer (1975)
- Il ritorno de Shanghai Joe (1975)
- A Genius, Two Partners and a Dupe (1975)
- Das Netz (1975)
- Jack the Ripper (1976)
- Nuit d'or (1976)
- Mivtsa Yonatan (1977)
- Madame Claude (1977)
- Mort d'un Pourri (1977)
- Operation Thunderbolt (1977)
- La Chanson de Roland (1978)
- Nosferatu: Phantom der Nacht (1979)
- Zoo Zéro (1979)
- Woyzeck (1979)
- Haine (1980)
- La Femme Enfant (1980)
- Schizoid (1980)
- Les Fruits de la Passion (1981)
- Venom (1981)
- Buddy Buddy (1981)
- Love and Money (1982)
- Fitzcarraldo (1982)
- The Soldier (1982)
- Android (1984)
- The Secret Diary of Sigmund Freud (1984)
- Faerie Tale Theatre Beauty and the Beast (1984) (TV)
- The Little Drummer Girl (1984)
- The Hitchhiker (1984) (TV)
- Geheimcode Wildgänse (1984)
- Revenge of the Stolen Stars (1985)
- Creature (1989)
- Kommando Leopard (1985)
- El Caballero del Dragón (1985)
- Crawlspace (1986)
- Time Stalkers (1987) (TV)
- Cobra Verde (1987)
- Nosferatu in Venice (1988)
- Kinski Paganini (1989)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- http://www.hatii.arts.gla.ac.uk/MultimediaStudentProjects/00-01/0009135b/fruits/html/Kinski/kinski-bio.htm Ilihifadhiwa 16 Julai 2012 kwenye Wayback Machine. a segment of Guido Bãhm’s 2001 Multimedia Analysis and Design project at the Humanities Advanced Technology and Information Institute (HATII) at the University of Glasgow.
- http://www.walther-nienburg.de/Kinski/Post/katovsky.html Ilihifadhiwa 17 Februari 2006 kwenye Wayback Machine. (on Kinski's final interview)
- http://www.klaus-kinski.de/ (Kinski Fanpage in German)
- http://dantenet.com/er/Kinski/k2contents.html Ilihifadhiwa 4 Aprili 2006 kwenye Wayback Machine. (Guide to Kinski)
- http://thekinskifiles.blogspot.com (Kinski Blog)
- http://www.slate.com/id/2946/ (Review of Kinski Uncut)
Ona pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Klaus Kinski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |