Kishineu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kishineu mjini: geti na kanisa
Kishineu mjini: geti na kanisa

Kishineu (tamka: ki-shi-ne-u; Kiromania Chişinău (matamshi kama mbele); kwa mwandiko wa kikirili Кишинэу, Kirusi Кишинёв "kishinyev") ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Moldova mwenye wakazi 600,000.

Yaliyomo

[hariri] Jiografia

Mji uko kwa 47°0′N 28°55′E kando la mto Bich (Bîc) amabo ni tawimto wa Dnestr . Eneo la mji ni 120 km². Kishineu iko katikati ya nchi ya Moldova.


Kuna vyuo vingi pamoja na shule, makumbusho na nyumba za igizo. Mji una viwanda vingi.

[hariri] Wakazi

Kati ya wakazi kuna vikundi vifuatayo kufuatana na lugha:

[hariri] Viungo vya Nje

[hariri] Picha za Kishineu

[hariri] Ramani

Vifaa binafsi