Kim Raver
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kim Raver | |
|---|---|
Kim Raver |
|
| Amezaliwa | Kimberly Jayne Raver 15 Machi 1969 New York City, New York |
Kimberly Jayne Raver (amezaliwa tar. 15 Machi, 1969) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani.
Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Nico Reilly katika kipindi cha TV cha Lipstick Jungle, Kim Zambrano katika kipindi cha TV cha Third Watch, na Audrey Raines katika kipindi cha TV cha 24.
[hariri] Viungo vya Nje
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kim Raver kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |