Kenya Commercial Bank
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
Unganisha! Imependekzwa makala hii iunganishwe na Benki ya Kenya Commercial Bank. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Makala hii imetiwa alama tangu tarehe July 2010. |
Kenya Commercial Bank (KCB) ni kati ya benki kubwa za Kenya. Makao makuu yapo Nairobi.
KCB ina matawi kote nchini. Serikali inashika 26% za hisa. Katika miaka iliyopita KCB ilipoteza pesa nyingi kwa kutoa mikopo kwa watu waliokosa nia au uwezo wa kurudisha pesa.
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kenya Commercial Bank kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
