Juba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Juba ni neno linalomaanisha mara nyingi
- Juba (Sudan) - mji mkuu wa Sudan Kusini
Neno laweza kumaanisha pia
Watu [hariri]
- Juba I wa Numidia mfalme aliyetawala 85 BC–46 BC
- Juba II wa Numidia mfalme aliyetawala 52 KK - 23
- Juba wa Mauretania mfalme wa karne ya 2
- Titus Desticius Juba - Mroma wa karne ya 3
Mahali [hariri]
- Juba - kijiji katika wilaya ya Võru, Estonia
- Juba - jina la mikoa ya Somalia karibu na mto Jubba inayoandikwa pia kama "Juba"
- mto Jubba katika Somalia (pia: Juba)
- Chuo Kikuu cha Juba katika Juba, Sudan Kusini