Jumba la David Livingstone, Zanzibar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jumba la David Livingstone, Zanzibar.

Jumba la David Livingstone ni jengo la kihistoria lililopo Mji Mkongwe, Zanzibar.[1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Lilijengwa mnamo 1860 kwa ajili ya Sultani Majid bin Said](sultani kutoka mwaka 1856 mpaka 1870).[1][2]

David Livingstone aliishi kwenye jumba hilo kabla ya kusafiri kuelekea bara kuanza safari yake ya mwisho mnamo 1866.[2]

Kwa sasa ni ofisi kuu ya shirika la utalii la Zanzibar Tourist Corporation (ZTC).[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-12. Iliwekwa mnamo 2021-05-12. 
  2. 2.0 2.1 2.2 http://www.zanzibar-travel-guide.com/bradt_guide.asp?bradt=1796