Juliette Mbambu Mughole
Juliette Mbambu Mughole | |
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Bunge
Naibu wa taifa | |
---|---|
Muda wa Utawala Julai 30, 2006 – Desemba 31, 2018 | |
Muda wa Utawala Decemba 2016 – Sasa | |
tarehe ya kuzaliwa | Juni 16 1979 Musienene, Kongo, J.K. |
utaifa | Mkongo |
chama | ACLP |
watoto | 3 |
makazi | Kinshasa |
mhitimu wa | UPN |
Fani yake | Mwanasiasa Muda Mkurugenzi Mwandishi |
dini | Ukristo |
Juliette Mbambu Mughole (alizaliwa Musienene, jimbo la Lubero, Mkoa wa Kivu Kaskazini, huko Zaire, sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, 16 Juni 1979) ni mwanasiasa na mwanaharakati wa Kongo na mwanzilishi wa Mughole Foundation.
Amechaguliwa mwaka wa 2006 na kuchaguliwa tena mwaka 2011 kama naibu wa kitaifa katika uchaguzi wa wabunge katika wilaya ya uchaguzi ya Lubero katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.[1][2]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Juliette Mbambu Mughole", Wikipédia (kwa Kifaransa), 2022-02-25, iliwekwa mnamo 2022-02-25
- ↑ Mfemfere Libuli Gloire. "Nande/Yira : Juliette Mbambu Mughole insiste sur les vertus du dialogue/Honorable Juliette Mbambu Mughole : les vertus du dialogue". Journal La Prospérité (kwa fr-fr). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-25. Iliwekwa mnamo 2022-02-25.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Juliette Mbambu Mughole kwenye Twitter