Home on the Range (filamu ya 2004)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Home on the Range
Imeongozwa na Will Finn
John Sanford
Imetayarishwa na Alice Dewey
Imetungwa na Will Finn
John Sanford
Nyota Roseanne Barr
Judi Dench
Cuba Gooding, Jr.
Randy Quaid
Jennifer Tilly
Steve Buscemi
Muziki na Alan Menken
Glenn Slater
Imehaririwa na Mark A. Hester
H. Lee Peterson
Imesambazwa na Walt Disney Pictures
Imetolewa tar. 2 Aprili 2004
Ina muda wa dk. Dk. 76
Nchi Marekani
Lugha Kiingereza
Bajeti ya filamu $110,000,000
Mapato yote ya filamu $103,951,461

Home on the Range ni filamu ya katuni-muziki ya Kimarekani ya mwaka wa 2004 iliyotayarishwa na Walt Disney Feature Animation na kutolewa na Walt Disney Pictures mnamo tar. 2 Aprili 2004, na ilipewa jina la wimbo wa muziki wa country maarufu kama "Home on the Range". Hii ni filamu ya 45 kutolewa kutoka katika mfululizo wa filamu za Walt Disney Animated Classics, na ilikuwa ya mwisho kutolewa na Disney kwa upande katuni hadi hapo ilipofika mwaka wa 2009 alipotoa filamu ya The Princess and the Frog, na hii filamu ya katuni ya mwisho ya Disney kutolewa kwenye VHS.

Nyota wa filamu hii waliotia sauti zao ni pamoja na Roseanne Barr, Judi Dench, Jennifer Tilly, Steve Buscemi, G.W. Bailey, Cuba Gooding, Jr. na Randy Quaid.

Hadithi

Washiriki

Mwigizaji Uhusika
Roseanne Barr Maggie
Judi Dench Mrs. Calloway
Jennifer Tilly Grace
Cuba Gooding Jr. Buck
Randy Quaid Alameda Slim
Charles Dennis Rico
Charles Haid Lucky Jack
Carole Cook Pearl Gesner
Joe Flaherty Jeb the Goat
Steve Buscemi Wesley
Richard Riehle Sam the Sheriff
Lance LeGault Junior the Buffalo
G.W. Bailey Rusty
Patrick Warburton Patrick
Estelle Harris Audrey the Chicken
Sam J. Levine Willie Brothers (speaking)
Ann Richards Annie

Marejeo

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Home on the Range (filamu ya 2004) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.