George Byron
George Gordon Byron, 6th Baron Byron (22 Januari 1788 – 19 Aprili 1824) alikuwa mshairi na mwandishi mashuhuri nchini Uingereza. Mara nyingi anatajwa kwa cheo chake cha kikabaila kama Lord Byron.
Alikuwa mrithi wa mali kubwa hivyo aliweza kuendesha maisha kufuatana na mapenzi yake tu. Alikuwa maarufu kwa wapenzi wake wengi. Pamoja na kuandika alisafiri mahali pengi katika nchi za Bahari ya Mediteranea.
Tangu 1816 alihamia Italia alipojiingiza katika kundo la kisiasa lililolenga kuanzisha mapinduzi dhidi ya utawala wa Austria katika Italia ya Kaskazini. Aliamriwa kukaa katika mji wa Pisa bila kibali cha kutoka nje akatumia muda kwa mashairi.
1823 alipokea wito kutoka Ugiriki akawa kiongozi wa jeshi la Wagiriki waliopigania vita ya Uhuru dhidi ya Waturuki Waosmani. Hapa alikufa 1824 baada ya kungonjeka. Wagiriki wanamkumbuka hadi leo kama msaidizi wa uhuru wao.
Kazi zake
[hariri | hariri chanzo]- English Bards and Scotch Reviewers Ilihifadhiwa 5 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.(1809)
- Childe Harold's Pilgrimage (1818)
- The Giaour (1813)
- The Prisoner of Chillon (1816)
- Manfred 1817)
Kazi ndogo
[hariri | hariri chanzo]- So, we'll go no more a roving
- The First Kiss of Love (1806)
- Thoughts Suggested by a College Examination (1806)
- To a Beautiful Quaker (1807)
- The Cornelian (1807) (text on Wikisource}
- Lines Addressed to a Young Lady (1807)
- Lachin y Garr (1807)
- Epitaph to a Dog (1808)
- She Walks in Beauty (1814)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
- Pictures of Byron's Walk, Seaham, County Durham Ilihifadhiwa 15 Machi 2008 kwenye Wayback Machine.
- Poems by Lord Byron at PoetryFoundation.org Ilihifadhiwa 5 Mei 2010 kwenye Wayback Machine.
- Podcast—Listen Live or download Audio of Childe Harold's Pilgrimage by Lord Byron
- A Website of the Romantic Movement Ilihifadhiwa 24 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
- Works by George Byron katika Project Gutenberg
- The Byron Society
- The Byron Society's Journal Ilihifadhiwa 11 Februari 2021 kwenye Wayback Machine.
- The International Byron Society Ilihifadhiwa 22 Septemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- Byron's Grave
- Detailed site on Newstead Abbey, Byron's ancestral home, and on Byron's life in general
- Hucknall Parish Church, Byron's final resting place Ilihifadhiwa 1 Mei 2010 kwenye Wayback Machine.
- Statue of Byron at Trinity College, Cambridge Ilihifadhiwa 21 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
- Complete list of Byron poetry
- The Byron Cronology Ilihifadhiwa 7 Aprili 2010 kwenye Wayback Machine.
- Childe Harold's Pilgrimage Ilihifadhiwa 8 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
- Discussion of Byron's homosexuality Ilihifadhiwa 11 Aprili 2014 kwenye Wayback Machine.
- Byron's Poetical Works, Vol. 1 Ilihifadhiwa 11 Oktoba 2004 kwenye Wayback Machine.
- Byron's Poetical Works, Vol. 6
- The Works Of Lord Byron, Letters and Journals, Vol. 1 Ilihifadhiwa 8 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
- The Works of Lord Byron: Letters and Journals, Vol. 2 Ilihifadhiwa 11 Oktoba 2004 kwenye Wayback Machine.
- Byron's 1816-1824 letters to Murray and Moore about Armenian studies and translations
- The biography Byron Ilihifadhiwa 15 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine. by John Nichol
- Byron quotes
- Lord George Gordon Byron—Biography & Works Ilihifadhiwa 7 Desemba 2004 kwenye Wayback Machine.
- Centre for Byron Studies, University of Nottingham Ilihifadhiwa 2 Februari 2004 kwenye Wayback Machine.
- The first Full English translation of Fantasmagoriana (Tales of The Dead)
- Byron page on The Literature Network
- Films based on Byron's life and works
- 2003 television dramatization of Byron's life by the BBC
- Detailed account of Byron's love for animals
- Inscription on the monument to Boatswain, Byron's dog Ilihifadhiwa 24 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
- More on Byron's Newfoundland dogs
- Byron manuscripts at the Harry Ransom Center, The University of Texas Ilihifadhiwa 6 Juni 2010 kwenye Wayback Machine.
- George Gordon, Lord Byron at Find-A-Grave
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Byron kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |