Felisi wa Nantes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Felisi wa Nantes (514 - 584) alikuwa askofu wa mji huo huko Bretagne, leo nchini Ufaransa, ambaye katika kuhudumia watu alidhihirisha ari yake kubwa, akijenga kanisa kuu na kuinjilisha mfululizo walioishi mashambani[1].

Alipochaguliwa kuwa askofu alikuwa na ndoa (551), lakini mke wake alikubali kujiunga na monasteri, naye akawagawia maskini mali zake[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 6 Januari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum
  2. Butler, Alban. "St. Felix, Bishop of Nantes, Confessor", The Lives of the Saints. vol. VII, July, (1866)
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.