Bartolomeu wa Braga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Bartolomeu alivyochorwa na Antonio André.

Bartolomeu wa Braga, O.P. (Lisbon, 3 Mei 1514 - Viana do Castelo, 16 Julai 1590) alikuwa askofu mkuu wa Braga, nchini Ureno, kuanzia mwaka 1599.

Maarufu kwa maisha maadilifu, alijitahidi sana kutekeleza maagizo ya Mtaguso wa Trento, akihudumia kwa upendo mkubwa wa kichungaji kundi alilokabidhiwa katika mahitaji yake yote akatoa mafundisho bora katika maandishi yake mengi [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 4 Novemba 2001, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 5 Julai 2019.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Julai[2].

Maandishi[hariri | hariri chanzo]

  • "Compendium spiritualis doctrinae ex variis sanc. Patrum sententiis magna ex parte collectum" (Lisbon, 1582)
  • "Stimulus pastorum ex gravissimis sanct. Patrum sententiis concinnatus, in quo agitur de vita et moribus episcoporum aliorumque praelatorum" (Rome, 1564; published at the insistence of Charles Borromeo)
  • "Catechismo ou Doutrina christiana" (Lisbon, 1562).[3]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90332
  2. Martyrologium Romanum
  3. All of these writings have been republished on numerous occasions and have also been translated into several languages. A collective edition is: "Opera omnia cura et studio Malachiae d'Inguinbert, archiepisc. Theodos." (1 vol. Fol. In 2 parts, Rome, 1734–35).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.