Arnulfi wa Soissons

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Arnulfi katika mavazi ya askofu.

Arnulfi wa Soissons (pia: Arnoul, Arnulf, Arnold wa Oudenburg; Tiegern, leo nchini Ubelgiji, 1040 - alifariki 1087) alikuwa mkaapweke, halafu abati, padri na hatimaye askofu wa Soissons kuanzia mwaka 1080.

Alipojitokeza mwingine kama askofu wa mji huo, aliona afadhali kurudi utawani badala ya kushindana naye. Hivyo akaanzisha monasteri.

Papa Kalisti II alimtangaza kuwa mtakatifu tarehe 6 Januari 1120.

Sikukuu yake ni tarehe 14 Agosti[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • H. Claeys, Saint Arnold. Évêque de Soissons Apôtre de la Flandre. Fondateur de l`Abbaye d`Oudenbourg. 1889.
  • R.I.A. Nip (ed.), Lisiardus, Hariulfus. Vitae, Miracula, Translatio et alia Hagiographica sancti Arnulphi episcopi Suessionensis (= Corpus Christianorum. Continuatio Mediaevalis 285), Turnhout: Brepols Publishers, 2015 (ISBN 978-2-503-05301-1)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.