Altmani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Altmani katika dirisha la kioo cha rangi.

Altmani (Westphalia, 1015 hivi - Zeiselmauer, Austria ya Chini, leo nchini Austria, 8 Agosti, 1091) alikuwa askofu wa Passau, katika Bavaria ya leo.

Aliunga mkono juhudi za Papa Gregory VII kwa urekebisho wa Kanisa akaanzisha jumuia nyingi za kikanoni chini ya kanuni ya Augustino. Hatimaye alifukuzwa jimboni na kaisari Henri IV kwa sababu alitetea haki za Kanisa dhidi ya serikali [1].

Maisha yake yaliandikwa na mmonaki miaka 50 baada ya kifo chake uhamishoni[2]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Agosti[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Tomek, Ernst, 1935-39: Kirchengeschichte Österreichs. Innsbruck - Wien - München: Tyrolia.
  • Tropper, C., 1983: Der heilige Altmann. In: 900 Jahre Stift Göttweig 1083-1983. Ein Donaustift als Repräsentant benediktinischer Kultur. (Exhibition catalogue) Göttweig.
  • Wodka, Josef, 1959: Kirche in Österreich. Wegweiser durch ihre Geschichte. Vienna: Herder.
  • Fuchs, Adalbert, 1929: Der heilige Altmann. Kleine historische Monographien; 18.
  • Anon., 1965: Der heilige Altmann Bischof von Passau.
  • Wiedemann, Theodor (1851). Altmann, Bischof zu Passau, nach seinem Leben und Wirken. Kigezo:In lang. Augsburg: Kollmann, 1851.
  • "Vita Beati Altmanni Episcopi Pataviensis," in: Pez, Hieronymus (1721). Scriptores rerum Austriacarum, Tomus 1. Kigezo:In lang. Leipzig: Sumptibus Joh. Frid. Gleditschii b. filii, 1721, pp. 109-163.
  • Hansiz, Marcus. Germaniae sacræ: Metropolis Lauriacensis cum Episcopatu Pataviensi. Kigezo:In lang. Tomus I (1727). Augusta Vindelicorum (Augsburg): Happach & Schlüter, pp. 255-284.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.