Alexandra Popp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alexandra Popp
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaUjerumani Hariri
Nchi anayoitumikiaUjerumani Hariri
Jina halisiAlexandra Hariri
Jina la familiaPopp Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa6 Aprili 1991 Hariri
Mahali alipozaliwaWitten Hariri
Lugha ya asiliKijerumani Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKijerumani Hariri
Kaziassociation football player, zookeeper Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
Muda wa kazi2007 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoVfL Wolfsburg Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji25 Hariri
Ameshirikifootball at the 2016 Summer Olympics, 2019 FIFA Women's World Cup, UEFA Women's Euro 2022 Hariri
Tuzo iliyopokelewaOrder of Merit of North Rhine-Westphalia Hariri

Alexandra Popp (alizaliwa 6 Aprili 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya VfL Wolfsburg na timu ya taifa ya wanawake ya nchini Ujerumani. Hivi karibuni alicheza katika klabu ya FCR 2001 Duisburg na FFC Recklinghausen. Popp aliitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani mara mbili, mwaka 2014 na 2016 na Februari 2019 alichaguliwa kuwa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Alexandra Popp" (kwa Kijerumani). DFB.de. Iliwekwa mnamo 23 June 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexandra Popp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.