Witten
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Witten | |||
| Kitovu cha mji wa Witten | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Witten katika Ujerumani | |||
| Anwani ya kijiografia: 51°26′N 7°20′E / 51.433°N 7.333°E | |||
| Nchi | Ujerumani | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia | ||
| Idadi ya wakazi (2009) | |||
| - Mji | 98.601 | ||
| Tovuti: www.witten.de | |||
Witten ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Ruhr. Idadi ya wakazi wake ni takriban 98.601. Mji ulianzishwa 1214.
Tazama pia [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Witten kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |