Agapiti wa Palestrina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Agapiti ikionyesha alivyouawa, kazi ya Marco Antonio Prestinari (1605-1607 hivi), Museo del Duomo, Milano.

Agapiti wa Palestrina (Palestrina, 258 - Palestrina 18 Agosti 274 hivi) alikuwa mvulana Mkristo aliyeuawa kwa kukatwa kichwa katika mji huo karibu na Roma, Italia, kwa imani yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 18 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.