Adjoa Bayor
Adjoa Bayor
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Ghana |
Jina halisi | Adwoa |
Jina la familia | Bayor |
Tarehe ya Kuzaliwa | 17 Mei 1979 |
Mahali alipozaliwa | Accra |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo |
Alisoma | Robert Morris University Illinois |
Mwanachama wa timu ya michezo | F.C. Indiana, FF USV Jena, F.C. Indiana, Ghana women's national football team, Rochester New York FC |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 10 |
Ameshiriki | 2007 FIFA Women's World Cup |
Adjoa Bayor (alizaliwa 17 Mei 1979) ni mwanasoka wa zamani wa nchini Ghana ambaye alicheza kama kiungo. Amewahi kuwa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Ghana. [1] [2]
Kazi[hariri | hariri chanzo]
Bayor alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya kandanda ya wanawake wa Ghana katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 1999 nchini Marekani.
Alikuwa mshiriki wa timu ya World All Stars iliyocheza dhidi ya timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya China mwezi Aprili 2007 huko Wuhan, Uchina . [3]
Amewahi kuichezea klabu ya Ghatel Ladies huko Accra, Ghana na pia ameichezea klabu ya FC Indiana ya Marekani. [3] Bayor alijiunga mnamo 21 Januari 2009 na timu ya FF USV Jena. [4]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Abedu-Kennedy, Dorcas (2018-11-15). "I broke my virginity at age 32 - Adjoa Bayor". AdomOnline.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-02-23.
- ↑ "Tony Baffoe challenges Adjoa Bayor to get involved in developing women's football". Citi Newsroom (kwa en-US). 2018-11-28. Iliwekwa mnamo 2019-02-23.
- ↑ 3.0 3.1 "FIFA Recognizes F.C. Indiana Star". Women's Professional Soccer League. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-11-08. Iliwekwa mnamo 2007-09-20.
- ↑ "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-02. Iliwekwa mnamo 2009-01-22.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adjoa Bayor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |