Tambarare ya Ulaya ya Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created by translating the page "East European Plain"
(Hakuna tofauti)

Pitio la 21:29, 21 Septemba 2021

Nyanda za Chini ya Ulaya ya Mashariki ni tambarare katika Ulaya ya Mashariki, hasa katika Urusi. [1] Inaanza takribani kwenye longitudi ya nyuzi 26 ikielekea upande wa mashariki.

Nyanda hizo zinajumuisha beseni ya mito Dnepr, Oka, Don na Volga. Upande wa kusini mpaka uko kwenye safu za milima za Kaukazi na Krimea[2].

Upande wa magharibi zinaendelea katika Nyanda za Chini za Ulaya Kaskazini ilhali zote ni sehemu za Nyanda za Chini za Ulaya (European Plain) katika Uholanzi, Ujerumani hadi kaskazini-mashariki mwa Poland). Ni sehemu ubwa ya Ulaya pasipo na milima. [3]

Kiwango cha Nyanda za Chini za Ulaya Mashariki. [4]

Nyanda za chini ya Ulaya Mashariki zinajumuisha nchi za Kibalti, Belarusi, Ukraine, Moldova, Romania, na sehemu ya kiulaya ya Urusi.

Eneo lote ni takriban 4 likiwa kwa wastani mita 170 juu ya UB.

Marejeo

  1. Vladimir Klimenko; Olga Solomina, Moscow (2009). Introduction: Climate of the East European Plain. Springer. uk. 71. ISBN 978-9048131679. Iliwekwa mnamo 17 Mei 2014. From introductory Notes to article: V. Klimenko, Moscow Power Engineering Institute, Moscow, Russian Federation; Moscow, Russia; & O. Solomina, Institute of Geography Russian Academy of Sciences, Moscow, Russia. {{cite book}}: |work= ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. John F. Hoffecker (2002). Desolate Landscapes: Ice-Age Settlement in Eastern Europe. Rutgers University Press. ku. 15–21. ISBN 0813529921. Iliwekwa mnamo 17 Mei 2014.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Marshall Cavendish (2010). World and Its Peoples. Volume 8 of Estonia, Latvia, Lithuania, and Poland. uk. 1014. ISBN 978-0761478966. Iliwekwa mnamo 17 Mei 2014.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Bolesław Augustowski Wielkie regiony naturalne Europy w: Antoni Wrzosek (red.) Geografia Powszechna. Tom III. Europa (bez ZSRR), Państwowe Wydawnictwo Naukowe, Warszawa 1965

Viungo vya nje

    • East European Plain at Ukrainian Soviet Encyclopedia
    • East European Plain at Great Soviet Encyclopedia