Nchi za Kibalti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ramani ya Bahari ya Baltiki

Nchi za Kibalti ni nchi tatu katika Ulaya ya Kaskazini kando la bahari ya Baltiki:

Siku hizi pia Mkoa wa Kaliningrad wa Urusi (hadi 1945 Prussia ya Mashariki) huhesabiwa kuwa sehemu ya nchi za Kibalti.

Europe.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nchi za Kibalti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.