•Makala maalum:
Emma Goldman (27 Juni 1869 – 14 Mei 1940) alikuwa akifahamika kama mfuasi wa utawala huria wa mwshoni wa karne ya 19 hadi katikati ya karne ya 20.
Imani
Emma Goldman alikuwa mfuasi wa utawala huria (utawala huria ni nadharia ya siasa inayosema siasa na sheria havitakiwi), hivyo hakuwa anapenda serikali. Katika fikra dhaker alipendelea mtindo wa ukomunisti usiotia uzito kwa serikali na dola.
Aliamini kwamba watu wanapaswa wawe na maisha yao wenyewe, hivyo kila mtu atakuwa sawa na mwenziwe. Pia alikuwa mstari wa mbele katika kutaka haki sawa kwa wakinamama na alikuwa mtu wa kwanza kulilia haki za mashoga. Goldman pia alikuwa Mkanaji Mungu.
Goldman alikuwa akitetea sana mambo ya kutumia ubavu kwa ya imani ya kuleta mapinduzi halisi katika jamii, lakini baadaye alibadilisha kauli hiyo na kudai kwamba ubavu utatumikia katika kujilinda mwenyewe na si vinginevyo.
•Ujenzi
Ujenzi - Usanifu -
•Usanii
Fasihi - Ushairi - Bombwe - Ngoma - Uchoraji-
Kiswahili - Sheng - Lugha za Kibantu - Kiingereza - Lugha za Kirumi - Kiesperanto -
Mmomonyoko - Afrika - Shaka Zulu - Mapigano ya Adowa - Reli ya Uganda - Madola -
Akiolojia - Falaki - Biolojia - Kemia - Fizikia - Tiba - Elimu - Lugha - Hisabati - Sayansi - Teknolojia
•Jumuiya
Sheria - Siasa - Dini - Utabiri wa nyota
|