Too Gone Too Long

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
“Too Gone Too Long”
“Too Gone Too Long” cover
Single ya Randy Travis
B-side "My House"
Imetolewa Novemba 1987[1]
Urefu 2:24
Studio Warner Bros. Records 28286
Mtunzi Gene Pistilli

"Too Gone Too Long" ni kichwa cha wimbo uliotungwa na Gene Pistilli na kutayarishwa na msanii wa miondoko ya country Randy Travis. Ilikuwaw single ya tatu kutolewa kutoka kwa albamu yake Always & Forever. Iliibuka kuwa hit #1 ya tano nchini US. Ilifikia kilele katika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard Hot Country Singles & Tracks na ile ya Canada ya RPM country Tracks.

Yaliyomo[hariri | hariri chanzo]

Wakati mpenzi wa zamani anaporudi akijuta, msimulizi anamwambia kuwa ana mpenzi mpya na kuwa yeye alikuwa ameenda kwa muda mrefu sana na hangestahili kurudi nyumbani.

Unawili katika Chati[hariri | hariri chanzo]

"Too Gone Too Long" ilishikilia nafasi ya kwanza katika juma la 12 Machi 1988 katika chati zote za Country Single.

Chati (1988) Peak
position
U.S. Billboard Hot Country Songs 1
Canadian RPM Country Tracks 1

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]

  1. Randy Travis singles at LP discographies.com link
Alitanguliwa na
"Face to Face"
ya Alabama ikishirikisha K.T. Oslin
Billboard Hot Country Singles & Tracks
Sinle Bora zaidi

12 Machi 1988
Akafuatiwa na
"Life Turned Her That Way"
ya Ricky Van Shelton
RPM Country Tracks
single ya kwanza

12 Machi 1988
Akafuatiwa na
"This Missin' You Heart of Mine"
ya Sawyer Brown